Friday, July 18, 2014

RASMI ARSENAL WATAMBULISHA BEKI MPYA KULINDA PENGO LA SAGNA

KLABU ya Arsenal imemsajili beki wa kulia wa kimataifa wa Ufaransa, Mathieu Debuchy kutoka Newcastle wakati Washika Bunduki wakiendelea kumwaga fedha kusajili.

Debuchy, mwenye umri wa miaka 28, amechukuliwa ili kuziba pengo la Mfaransa mwenzake, Bacary Sagna aliyehamia kwa mabingwa,  Manchester City mapema baada ya msimu.

Arsenal iemtweet picha ya Debuchy ikiambatana na ujumbe#KaribuDebuchy.

Kama bado ujaungana na page yako ya kimichezo ili kila nikipata habari zikufikie kirahisi  BONYEZA HAPA 


UKIONA TUKIO LOLOTE USISITE KUTUTUMIA PICHA WHATSAPP NO:06570352125 Festo saimon

0 comments:

Post a Comment