Friday, July 18, 2014

MCHEZAJI WA MAN UNITED MICHAEL CARRICK AVUNJIKA,NJE WIKI 10

Picha aliyoposti Carrick katika Instagram inayoonyesha sehemu aliyoumia

KIUNGO Michael Carrick amevunjika kifundo cha mguu na atakuwa nje kwa wiki 10, kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal amesema. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 aliumia mguu wa kushoto na akafanyiwa upasuajileo asubuhi na kuna wasiwasi atakuwa nje kwa miezi.

Carrick ameposti picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa hospitali na plasta ikiambatana na ujumbe: "Nimekuwa na siku nzuri... imenichaganya sana lakini mbio za kupambana kuwa fiti zimeanza'

Kama bado ujaungana na mimi ili kila nikipata habari zikufikie kirahisBONYEZA HAPA 


UKIONA TUKIO LOLOTE USISITE KUTUTUMIA PICHA WHATSAPP NO:06570352125 Festo saimon

0 comments:

Post a Comment