Saturday, July 05, 2014

Full time ya Argentina na Belgium hii hapa matokeo na wafungaji

Siku ya pili ya hatua ya nane bora ya michuano ya kombe la dunia imeanza kwa mchezo uliozikutanisha Argentina vs Belgium.

Mchezo huo ulioisha hivi punde umemalizika ubao wa matokeo ukionyesha ushindi wa 1-0 kwa Argentina, bao la mshambuliaji wa Napoli Gonzalo Higuain likiipeleka timu hiyo ya Amerika ya kusini kwenye nusu fainali.

Argentina sasa anamsubiri mshindi kati ya Costa Rica dhidi ya Uholanzi kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali. BONYEZA HAPA 


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment