Ajali mbaya imetokea mda huu maeneo ya mbezi beach karibu na Girrafe Hotel ambapo Gari ndogo imegonga bajaj iliyokuwa na watu wawili ndani na inasemekana mtu mmoja amefariki dunia,na pia kuna majeruhi hali zao ni mbaya wanakimbizwa hospitali.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa gari hiyo na pia alikuwa amelewa ndipo gari ikamshinda na kuparamia Bajaj,Tutakuletea Taarifa kamili {Picha kwa hisani ya blog za mikoa} kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment