Sunday, July 06, 2014

Bilali,Kinana wafanya mazoezi uwanja wa Azam fc

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya mazoezi katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc, wakati walipotembelea Gym hiyo kujionea leo baada ya hafla ya uzinduzi wa Msikiti wa ‘Masjidil Huda’, kwenye Uwanja wa Chamazi, jijini Dar es Salaam, Julai 4, 2014. Picha na OMR


festo saimon 0657035125

0 comments:

Post a Comment