Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam , John Solombi anasema kuwa balozi huyo kwa jina Ismail Nwairat, alijipiga risasi Jumanne usiku na kufariki akiwa anapokea matibabu hospitalini. Msemaji wa serikali ya Tanzania Arthur Mwambene amethibitisha taarifa hiyo kuwa balozi huyo alijiua ndani ya makao ya ubalozi wa Libya mjini Dar es Salaam Jumanne usiku. BONYEZA HAPA HUONE
by festo saimon phone 0657035125
0 comments:
Post a Comment