Monday, May 19, 2014

Van gaal athibitishwa kuwa meneja mpya manchester united

Machester united imemtangaza Louis Van gaal kuwa kocha mpya.

Kocha huyo wa timu ya taifa ya uholanzi alikuwa akihusishwa toka alipoondoka David moyes katika kipindi cha karibu na mwisho wa msimu uliopita

Van gaal atajiunga na man united mara baada ya Uholanzi kumaliza kampeni yao ya kombe la Dunia nchini Brazili na amesaini mkataba wa miaka mitatu.

Ryan Giggs ambaye amemalizia msimu akiwa katika benchi la ufundi atakuwa meneja msaidizi wa Van Gaal sambamba na Frank Hoek pamoja na Marsel Bout.

Van Gaal alisema "mara zote ilikuwa ni heri kwangu kufanya kazi kwenye ligi ya uingereza".

"Kufanya kazi kama  Machester united kablu kubwa Duniani kunanifanya nijivunie"

Hii ni klabu kubwa Dunian na mm na malengo makubwa naamini tutatengeneza historia.

Mtendaji mkuu wa man united Ed woodward amesema "kwa meneja Van Gaal tumepata huduma ya mmoja wa mameneja bora wa soka"

"Amepata vitu vingi katika taaluma yake mpaka sasa na old trafford inamtoa kupambana ili kuandika sura mpya katika historia ya Man United"




Posted by flavian kachira

1 comment: