Mwili wa marehemu adamu kuambiana umeagwa leo nyumbani kwake Bunju B na ndugu,marafiki,wasanii,wanasiasa wameshiriki tukio hilo.
Kesho asubuhi mwili wa marehemu utapelekwa viwanja vya leaders na baadae kuzikwa katika makaburi ya kinondon jijini Dar es salaam.
Posted by flavian kachira
0 comments:
Post a Comment