Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa hip hop Nick wa pili Leo ametoa cover ambayo ambayo inamanisha ujio mwingine unaofuata baada ya ngoma yake ya nje ya boksi ambayo ilitoka siku ya valentine day february 14/2013 ingawa apo katikati kunasingle kadhaa zimetoka kwenye kundi la weusi ambao wameshinda tuzo kama kundi bora la mwaka 2013/2014.
Wimbo unaitwa 'sitaki kazi' haijafahamika bado kilichoimbwa kwenye wimbo uo ila kilichoelekeza ni tarehe rasmi ya kuachiwa kwa wimbo uo ambayo ni mei 13.
Posted by festo saimon
0 comments:
Post a Comment