Wednesday, May 07, 2014

Profesa j na jose chameleone waingia studio kufanya wimbo mpya.

Joseph haule a.k.a profesa na Josechameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliamua kutumia beat ya wimbo wake 'nikusaidiaje' wimbo aliomshirikisha mdogo wake weasal,Bomboclat na sasa wawili hao wamekutana kufanya wimbo
              mpya wa pamoja.

Kupitia instragram professa jay ameandika; ndani ya mwanalizombe studio usiku sana, jay na chameleone @lamarfishcrab @producer villy ; nishidaaa mpya inakuja STAY TUNED Dar East Afrika HEAVY WEIGHT stay tuned mpaka waseme poo!!!!!.

Chameleone alikuwa nchini kuhudhuria tuzo za kili music awards ambapo alishinda tuzo ya wimbo bora wa Afrika mashariki


Posted by festo saimon

0 comments:

Post a Comment