Baadhi ya waombolezaji wakiwa bunju,Dar
Mwili wa mwigizaji na muongozaji wa filamu maarufu apa bongo Adam Kuambiana kuagwa kesho jumatatu nyumbani kwake Bunju b,Dar na jumanne katika viwanja vya leaders club, na mashabiki wake.
Tarifa imetolewa na mke wa marehemu, janeth Rithe ambaye ni diwani wa kata kunduchi.
Posted by festo saimon
Posted by festo saimon
Posted by festo saimon
0 comments:
Post a Comment