Akichangia hoja bungeni kwenye wizara ya maendeleo wanawake jinsia na watoto. Ameomba kwa uchungu watanzania kukemea ukeketaji,ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko vigodoro na nyinginezo na upigaji wa wanawake.
Infact! inashangaza ngoma hizi zinazoshamiri maeneo mbalimbali ya jiji la Dar ea salaam,inashangaza kwanini wizala husika haiwakomeshi ngoma za ovyo kama hizi kule boko beach kuna ngoma za ovyo kigodoro huchezwa kila wikendi, viongozi wa serikali za mtaa hawaoni.
Posted by festo saimon
0 comments:
Post a Comment