Saturday, May 17, 2014

AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI HAPO HAPO

Mwili wa marehemu Meshack lusito

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Meshack John Lusito amegongwa na gari maeneo ya Gezaulole kigamboni jijini Dar es salaam, aliyemgonga amekimbia na gari lake na inasemekana alikuwa kiongozi


Posted by festo saimon

0 comments:

Post a Comment