Tuesday, May 13, 2014

MAPACHA WAZALIWA WAKIWA WAMESHIKANA MKONO

Mama mmoja uko Marekani amezaa Mapacha walioshikana mkono. Mama amesema iyo ni zawadi kubwa sana kwake

Watoto hao pia walikuwa wanapumua bila usaidizi wowote walipotolewa kwenye mashine ya oksijen.

Mama wa watoto hao alisema kuwa watoto waliopewa majina ya Julian na Jenna walikuwa wameshikana kwenye kitovu na
Kutumia kondo la nyuma ambayo halisema ni yakipekee.

Tayari ni marafiki "alisema mama yao Sara Thistlethwaite.
Walizaliwa ijumaa katika jimbo la ohio wakiwa wameshikana mikono

Inaharifiwa ni Mama mmoja kati ya wamama elfu kumi wenye uwezo wa kujifungua mapacha wa aina hiyo.

Bi Thistlewaite mwenye umri wa miaka 32  alilazimika kupumzika kwa wiki kadhaa kabla ya kujifungua kwani mapacha wanaozaliwa wakiwa wameshikana mkono ni hali nadra inaweza kuhatalisha maisha yao kabla hawajazaliwa.


Posted by festo saimon

0 comments:

Post a Comment