Wimbo mpya wa Gosby uku akiwa amemshirikisha Ommy Dimpoz "Nakuogopa".
Wimbo umefanywa na Nah Reel katika studio ya Hometown record huku walioongeza ongeza tachi ni pamoja na Erasto mashine na Marko Chali aliyemalizia upande wa mixing umetoka leo
"Kwa wale wanaotaka kudownload tutaiweka mda siomrefu tatizo la kimtandoa litakapo tatuliwa"
Posted by festo saimon
Posted by festo saimon
0 comments:
Post a Comment