Tuesday, August 19, 2014

PICHAZ: ILA TUACHE UTANI MENINAH ANA MLIMA WA HATARI!!! ONLY MEN....CHEKI PICHA HIZI

ALI KIBA AELEZEA ALICHOCHUKIZWA NA DIAMOND

Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali Kiba amefunguka kuhusu mambo yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond miaka michache iliyopita baada ya mkali huyo kutoka na wimbo wa ‘Kamwambie’ uliogeuka kuwa wimbo wa taifa wa Bongo Flava kwa muda. Akiongea na kipindi cha Mkasi, Ali Kiba ameeleza kuwa yeye ndiye mtu aliyepitisha ombi la Diamond kurekodi katika studio za SharoBaro kwa kuwa wakati huo alikuwa mdau mkubwa katika uongozi wa studio hizo lakini matokeo yake yalimgeukia hadi kuamua kujitoa katika team hiyo. Ameeleza kuwa mara baada ya Diamond kutoka na Kamwambie, aliona gazeti moja lililokuwa lililomkariri akisema kuwa yeye ndiye ‘fimbo’ ya Alikiba na amekuja kumfunika. Hata hivyo maneno yaliyowekwa kaitika gazeti hilo yalianza kuaminika kwa Ali Kiba baada ya kukutana nae mara kadhaa kwenye shows. “Lakini nilishawahi kukaa na Diamond katika mikutano ya Shows ambazo tunaitwa pamoja wasanii na nini na nini. Mimi napendaga kuongea nae kama mdogo wangu kwa sababu the way nilivyokuwa nikimtreat ni kama wadogo zangu wengine akina Bob Junior akina nani… Nilimsikia akiongea sana kwamba nimekufunika kwenye show fulani, nimekufunika kwenye show fulani. Kwa kweli the way nilivyokuwa nikimtreat kama mdogo wangu. Kwa hiyo yeye alikuwa ameconcentrate sana katika kunifunika.” Alieleza Ali Kiba. “Mimi sio mtu wa kumind sawa. Kwa hiyo alivyokuwa anaongea anajifurahisha. Hata kama amenifunika mimi nilikuwa naweza kumpigia makofi vilevile. Si nataka afanikiwe. Kwanza nafurahi. Napenda sana challenge. Inakufanya unaaamke.” Aliongeza. Kujirudia kwa neno ‘kufunika’ kila walipokuwa akikaa na Diamond kuligeuka kuwa kero kwa Ali Kiba huku mengine yakipenya kutoka kwa watu wake wa karibu. “Kwa hiyo kitu ambacho kilikuwa kinahappen tukiwa karibu hivi, ni hivyo vitu ambavyo akizungumziwa nimekufunikaa..nimekufunika. Nikawa nikitoa video nasikia maneno, kwamba ‘Ali amesikia maneno nimetoa hii na yeye ametoa hii’. Mi sijawahi kumsikia mwenyewe akisema. Ila watu wake wa karibu wa karibu wanakuja wanasema. Unaweza kumjua mtu tabia yake kwa kumuangalia, kwa kuishi nae.” Ali ameeleza kuwa hata baada ya kuamua kukaa kimya amlee mwanae wa kiume alisikia tena maneno kutoka kwa mwimbaji kwa Diamond kuwa amemkimbia. Hata hivyo, hii ilikuwa story ya zamani ambayo wengi wanaweza kuwa nayo lakini ikamhusu mtu ambaye kwa sasa amekuwa rafiki wa kudumu. Hivi karibuni Ali Kiba alisema kuwa hana tatizo lolote na Diamond na kuwataka watu wasimgombanishe na msanii huyo. Ni muda wa biashara. Yaliyopita si ndwele (maradhi) tugange yajayo kwa maendeleo ya Bongo Flava. Kilichobaki ni ushindani wa kibiashara kama alivyosema Babu Tale

Msg 3 nimekutana nazo Whatsapp! Lazma ucheke

Whatsapp ni sehemu nyingine kubwa inayotumika kama mawasiliano na mamilioni ya watu duniani, sehemu ambayo inakuruhusu kumtumia mwenzio video, picha, sauti na mengine.

DUH, BASIUNAAMBIWA HIZI NDO PICHA TATA ZA DRAKE AKIWA NA NICK MINAJ, FULL MAJANGA. JIONEE

Nicki Minaj and Drake have famously said they are just friends and nothing can happen between them because they have a 'brother/sister' relationship. Well, if Nicki continues this way, Drake might just stop seeing her as a 'sister'. See the way he's concentrating on her butt...lol Nicki Minaj shared these pics from her Anaconda video which will drop on Wednesday.

SUAREZ AANZA KAZI RASMI BARCELONA IKIUA 6-0 NA KUTWAA KOMBE

Kungo Xavi akiwa ameshika Kombe la Gamper baada ya ushindi wa 6-0
Ameanza kazi: Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Luis Suarez aliyetua kwa Pauni Milioni 75 Barcelona jana ameanza kazi Camp Nou
Lionel Messi akiipangua safu ya ulinzi ya Leon
Lionel Messi akishangilia na Neymar baada ya Mbrazil huyo kufunga

MSHAMBULIAJI Luis Suarez jana ameichezea kwa mara ya kwanza timu yake mpya, Barcelona ikishinda mabao 6-0 Uwanja wa Camp Nou dhidi ya FC Leon, baada ya kupunguziwa adhabu na CAS.

Suarez alifungiwa kujihusisha kabisa na soka kwa miezi minne baada ya kumng'ata Giorgio Chiellini wa Italia kwenye Kombe la Dunia, lakini CAS inapunguza makali yake ya soka kwa kumruhusu kufanya mazoezi na kucheza mechi zisizo za mashindano za Uruguay na Barcelona.

Na jana akaingia kuchukua nafasi ya Rafinha dakika ya 76, wakati huo tayari Barca inaongoza 4-0.

WEMA SEPETU AZIDI KUANDAMWA HUYU NAE AFUNGUKA YA MOYONI AKIMSEMA WEMA AACHE UJINGA!

Mange kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea Wema baada ya Diamond kufunguka kuwa Wema ni mpenda starehe na mashoga wapenda anasa badala ya kujikita kufaya kazi kujiletea amendeleo. Mange amesema kuwa anakubaliana na alichokisema Diamond. Mange ambaye yupo karibu na Wema ameandika . "Mnajua siku zote mimi huwa nakuwa upande wa Wema kwenye issue zake na DIAMOND, Ila leo kwa mara ya kwanza nipo upande wa Shemeji. Wengi wanalaumu kwanini Diamond aweke hiki kitu hadharani ni kama anamdhalilisha Wema. Jamani nimesoma alichoandika huyu kaka what I can say is he really and truely loves Wema ila Wema mwenyewe anaharibu. Yani you can see kabisa he wants the best for his woman ila woman mwenyewe doesn't want the best for herself. Alichosema Diamond ni kwamba yeye kama mwanaume anaweza kumsuport mwanamke wake financially ila kama mwanamke mwenyewe hajisukumi yeye afanyeje sasa?

Alichoandika Maulid Kitenge baada ya kuacha kazi ITV/RadioOne

Home » General News » Alichoandika Maulid Kitenge baada ya kuacha kazi ITV/RadioOne Maulid Kitenge yuko kwenye orodha ya Watangazaji wa muda mrefu wa michezo nchini Tanzania ambapo ujazo wa jina lake uliongezeka baada ya kuanza kufanya kazi na ITV/RadioOne zaidi ya miaka 10 iliyopita. August 18 2014 Maulid aliandika yafuatayo kwenye page yake ya twitter >>> ‘Namshukuru sana Mungu leo nimemaliza miaka 14 ya kutumika kuwa kama mtangazaji wa michezo Radio one stereo na hakika naondoka rasmi‘ Mpaka asubuhi ya August 19 2014 Maulid alikua hajaandika tweet nyingine ya anakokwenda au atakachofanya baada ya kuondoka ITV/RadioOne

MH!! JAMANI MBONA HAKA KATABIA KAMA KANAZIDI KUKUA KWA KASI....

Hebu tuwakanye hawa mabitihivi kesho hawa sindio waanza kudai haki yakuoana?!!!...Tuunganishe nguvu kuwakemea leo..

EXPOSED: HUYU SI JAMAA WA TIP TOP..INAKUWAJE HAPA NA HUYU NYOTA NDOGO WA MOMBASA KENYA!!!!!