Anakwenda: Winga wa Chelsea na Ghana,
Christian Atsu anatarajiwa kujiunga na Everton
kwa mkopo wa muda mrefuKLABU ya Everton imekubali kumsajili kwa mkopo wa muda mrefu kiungo wa Chelsea, Christian Atsu, kwa mujibu wa kocha Roberto Martinez.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ghana sasa anakwenda kupiga kazi Goodison Park kwa msimu wote wa 2014/2015, kitu ambacho sasa Martinez amethibitisha. Utaratibu wa mkopo umefikiwa baina ya timu hizo mbili, huku...