Wednesday, October 08, 2014
 |
| Wanafunzi wakijipiga picha Bafuni Hostel
Kwakweli maisha ya chuoni ni experience tosha,
kuna kila aina ya mambo mi naamini kama
umepitia maisha ya chuo, umeshakaa hostel basi
utakuwa umejifunza mengi sana, na hakuna jipya
baada ya hapo. Wapo watu wanaokuja chuoni
wakiwa wapole na watiifu, lakini wape muda tu
kidogo utaona mara tayari ana boyfriend mara
tayari nae ameshaanza kwenda club.
Mambo ni mengi sana Vyuoni, kama mpenzi
wako ameenda chuoni ujue kuna kazi hapo
ndugu yangu muombee tu MUNGU amlinde,
vishawishi ni vingi na kuepukika ni ngumu sana
inahitaji ujasiri mno. YABIDI KUWA MAKINI TU |
0 comments:
Post a Comment