Friday, September 05, 2014
 |
Mchekeshaji maarufu hapa Tzee ambaye
anamiondoko ya kimasai, Gillady Severina
aka Masai Nyotambofu, ameteka sana soko
la filamu hapa Bongo kwa upande wa
Comedy kwa kufanya filamu kibao kama
‘Vyumba Vimejaa’, ‘Inye Ndembendembe’,
‘Pedeshe’ nk.
Kwa chanzo chetu cha kuaminika kimebaini
uhusiano uliopo baina ya Masai
Nyotambofu na Salma Jab aka Nisha
anayetamba sokoni na muvi ya ‘Zena Na
Betina’, ‘Jike Dume’ nk, mara baada ya
kuunasa Comment yake Instagram
aliyopost kidume mwenye mbwembwe za
kimasai. BK lilijaribu kumuuliza
Nyotambofu ambye alijibu hivi,
“No jamani mimi sina mahusiano yeyote na
Nisha but mimi siku ile nilipost tu
kuwataarifu watu juu ya kutoka kwa muvi
yake Nisha iliyofahamika kwa jina ‘Zena Na
Betina’ basi najua Nisha alitoa Coment hiyo
kwasababu aliona kuwa mimi jinsi gani
napenda mafanikio yake.” alisema Masai
Nyotambovu |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment