Kocha Louis van Gaal
amesema kiungo wake
wa pembeni, Ashley
Young hakujirusha
makusudi kupata
penalti katika mechi
dhidi ya Sunderland
iliyomalizika kwa
sare ya mabao 1-1.
Beki Wes Brown
aliuondoa mguu wake
wakati anakutana na
Young lakini
akaanguka na mwamuzi
Martin Atkinson
akamlamba kadi ya
njano. |
0 comments:
Post a Comment