Saturday, August 09, 2014
 |
Madee akisema na mashabiki wake. |
 |
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka
Kundi la Tip Top Connection, Ahmad
Ally ' Madee' akiwapagawisha mashabiki
waliofurika katika Uwanja wa Taifa jijini
Dar kwenye Tamasha la Usiku wa
Matumaini 2014 . |
 |
Mashabiki baada ya kupagawa na shoo
ya Madee. |
Source gp
0 comments:
Post a Comment