REAL Madrid jana imeuanza vyema msimu
mpya wa La Liga kwa ushindi wa mabao 2-0
dhidi ya Cordoba iliyopanda daraja Uwanja wa
Bernabeu.
Shukurani kwao, wafungaji wa mabao hayo,
Mfaransa Karim Benzema dakika ya 30 na
Mwanasoka Bora wa Dunia, Mreno Cristiano
Ronaldo dakika ya 90.
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa; Casillas,
Arbeloa/Carvajal dk73, Ramos, Pepe, Marcelo,
Kroos, Modric, Bale, James/Isco dk72,
Ronaldo na Benzema/Khedira dk76.
Cordoba: Carlos, Gunino, Inigo, Pantic,
Crespo, Rossi, Garai, Pinillos/Cartabia dk46,
Ryder/Fidel dk62, Lopez Silva na Havenaar/
Xisco dk67. |
0 comments:
Post a Comment