Jux amekanusha kuwa na uhusiano
wa kimapenzi na msanii mwenzake
Vanessa Mdee na kudai kuwa
Vanessa ni mshikaji wake tu lakini
amekiri kuwa muimbaji huyo wa
‘Come Over’ ana kila sifa ya kuwa
mke.
Jux ambaye hivi karibuni
alionekana kuwa karibu na
Vanessa amesema Vanessa ni mtu
wake wa karibu anayefanya kazi
naye. “No ni mshikhaji wangu tu,
tunafanya naye kazi, kuna tabia
zinaendana, kama ninavyokuwa na
rafiki na Stamina, Mo Music ni
kawaida, sema unajua ni
mwanamke na ni njia toafuti ndio
maana imekuwa hivyo,” alisema
Jux.
Alipoulizwa kama Vanessa anafaa
kuwa wife material Jux alijibu
Vanessa ana kila sifa ya kuwa mke.
“Ni msichana mzuri, mwonekano
wake mzuri, she is smart, yeah
she is a wife material, yuko vizuri,
lakini na mimi tumeendana sana
tabia zetu kama washikaji. Sema
nipo naye karibu na kwa sababu
mimi sionekanagi na wasichana
wengi ndio maana imekuwa hivyo.
Lakini sijui labda baadaye kwa sasa
hivi ni mapema, vyote anapanga
Mungu,” alisisitiza Jux. |
0 comments:
Post a Comment