Wednesday, August 20, 2014
 |
Tunafahamu kwamba Luis Suarez alijiunga na
Barcelona mwaka huu wa 2014 akitokea
Liverpool aliyoichezea toka mwaka 2011-2014
na kuifungia magoli 69 kwenye mechi 110
alizocheza.
Sasa ishu imekuja kwenye ada ya uhamisho
kwenda Barca ambapo club hiyo imeweka
wazi jana kwamba ilimchukua kwa pounds
milioni 65 kutoka Liverpool.
Kuna mchanganyiko umetokea baada ya hiyo
bei kutajwa kwa sababu Liverpool walisema
bei waliyomuuza mng’ataji huyu ni Pound
milioni 75. |
0 comments:
Post a Comment