 |
Majeruhi: Kiungo wa Manchester United, Jesse
Lingard akiondoka kwa msaada wa magongo
kutoka hospitali ya Bridgewater, ambako
alikwenda kutibiwa mguu wake wa kulia baada
ya kuumia juzi katika mchezo wa ufunguzi wa
Ligi Kuu ya England dhidi ya Swansea City
Uwanja wa Old Trafford. United ilifungwa 2-1
na beki huyo anaungana na majeruhi wengine
wa klabu hiyo mwanzoni mwa msimu, Jonny
Evans, Rafael, Luke Shaw, Antonio Valencia,
Danny Welbeck, Anderson na Michael Carrick. |
Na mdadisiblog/festosaimon
0 comments:
Post a Comment