Ndoto zimetimia: Vidic (katikati) akionyesha furaha yake ya kujiunga na vigogo hao wa Serie A katika Mkutano na Waandishi wa Habari
ALIYEKUWA Nahodha wa Manchester United, Nemanja Vidic anahamia kwenye changamoto nyingine za soka katika Ligi Kuu ya Italia, maarufu kama Serie A.
Beki huyo wa Serbia ametambulishwa mbele ya vyombo vya Habari Ijumaa baada ya kujiunga na Inter Milan kama mchezaji huru baada ya kupiga kazi kwa misimu minane Old Trafford. "Ningewasili Italia miaka mini iliyopita,"amesema Vidic. "Hatimaye nina fursa ya kucheza hapa,"amesema beki huyo mwenye umri wa miaka 32 aliyesaini Mkataba wa miaka mitatu naq Nerazzurri.
BONYEZA HAPA
festo saimon 0657035125
0 comments:
Post a Comment