Tuesday, July 08, 2014

Vanessa kufanya kolabo na kundi la sauti soul la kenya

Vanessa Mdee aka Vee Money, anatarajia kuingia studio kufanya kolabo na kundi la Sauti Sol nchini Kenya. Vanessa ameaiambia Enewz ya EATV kuwa anajiandaa kuingia studio na kundi hilo litakaporudi likitokea jijini Amsterdam katika ziara ya muziki. Hivi karibuni Vee alikuwa jijini Nairobi kurekodi kipindi cha Coke Studio Africa. BONYEZA HAPA HUONE 


UKIONA TUKIO LOLOTE USISITE KUTUTUMIA PICHA WHATSAPP NO:06570352125 Festo saimon

0 comments:

Post a Comment