Waumini wa kanisa moja hapa Dar es salaam wamemaua kusitisha ibada baada ya kutokea
ugomvi ambao umesababishwa na
kutokuwepo kwa maelewano ambapo walijigawana kimatabaka ya kuamua kila upande kuwa na mchungaji wao.
Hali imekua tofauti baada ya kusali nje kwa muda wa zaidi ya miezi miwili na sasa
wameamua kurudi kusali kanisani upande wa juu na ndipo ilipotokea vurugu,Idara ya
Hekaheka iko na stori kamili.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Bonyeza play kusikiliza. PLAY HAPA
0 comments:
Post a Comment