Saturday, July 05, 2014

Toyota starlet ya teketea na moto

Gari aina ya Toyota Starlet limeungua moto siku ya jana Mji Mwema Kigamboni Dar es Salaam siku ya jana . Chanzo cha moto kilitokana na mafundi kuchomelea na Mtungi wa gesi kulipuka . BONYEZA HAPA 


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment