Wednesday, July 02, 2014

Picha zikimuonesha STL@stellamwangi kutoka Kenya akishoot video yake mpya "Biashara"

Hizi ni baadhi ya picha alizopost kwenye account yake ya Facebook zikimwonyesha mwanadada huyu kutoka Nairobi Kenya anajulikana kwa jina la Stella Mwangi akiwa kwenye sehemu tofauti tofauti akifanya video yake mpya aliyoipa jina la BIASHARA. BONYEZA HAPA 


by festo saimon phone 0657035125

0 comments:

Post a Comment