Monday, July 21, 2014

MORARI YA MATIZI YA MACHESTER UNITED NCHINI MAREKANI SIYO YA KUCHEZEA

Ander Herrera alipata nafasi ya kuonesha ufiti wake mbele ya ya kocha wake na wachezaji wenzake
Van gaal akitabasamu akimwangalia rooney naye akitabasamu
Herrera na Mata wakinyosha viungo
Kambi ya Man U ilionekana kuwa na furaha

Kinda: Reece James ni miongoni mwa wachezaji wa Akademi walioitwa katika ziara ya Marekani.LOUIS van Gaal na wachezaji wake wa Manchester United wapo katika morali kubwa kwenye ziara yao nchini Marekani.
Mholanzi huyo alionekana kucheka na kutaniana na mshambuliaji wake, Wayne Mark Rooney, wakati wachezaji wapya Luke Shaw na Ander Herera wakipata nafasi ya kuwajua wachezaji wenzao.
Man United wamepigga kambi ya maandalizi ya msimu mpya huko Marekani na sasa wanajiandaa na mechi ya kirafiki jumatano ijayo dhidi ya LA Galaxy.
Van Gaal na Rooney walionaka kuelewana vizuri ambao mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England alikuwa anamtania bosi wake mpya.


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment