Sunday, July 20, 2014

MCHEZAJI KIBONGE ZAIDI DUNIANI ALIVOWAHENYESHA CHELSEA APO JANA

Hapa ana pambana na Romeu
Mwili nyumba akipambana na wachezaji wa Chelsea
Akifenwa akigombania mpira na Marco van Ginkel wa chelsea
Chini ya ulinzi: Adebayor Akifenwa akidhibitiwa na nahodha John Terry

MCHEZAJI kibonge zaidi duniani, Adebayo Akinfenwa, alicheza soka ya kuvutia timu take AFC Wimbledon ikifungwa kwa
tabu na mabao 3-2 Chelsea jana.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32,hakufunga dhidi ya timu hiyo ya Ligi Kuu England, lakini aliganya vitu babu kubwa.

Chelsea ilinusurika kulala, ikiwa nyuma hadi zikiwa zimebaki dakika 16- kutokana na kazi nzuri ya 'mwili nyumba' au The
Beast' Akinfenwa.


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment