Friday, July 18, 2014

HOUSE BOY ALIYEKULA UBONGO WA MTOTO WA DARASA LA 3 NAYE AJIKATA SEHEMU ZAKE ZA SIRI

Asubuhi ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa za mfanyakazi wa ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3 kisha ubongo wake kuamua kuutafuna.

Baada ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kujikata sehemu zake za siri,Hapa utawasikiliza mashuhuda wa tukio hili pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjar o.

Kama bado ujaungana na mimi ili kila nikipata habari zikufikie kirahisi
>>>>>>>> BONYEZA HAPA >>>>>>


UKIONA TUKIO LOLOTE USISITE KUTUTUMIA PICHA WHATSAPP NO:06570352125 Festo saimon

0 comments:

Post a Comment