Jux atoa Nguo zenye jina na muonekano wake, kupitia Account yake ya Instagram Juma Jux alipost picha akiwa amevaa Vest yenye muonekano wake. Ni moja kati ya njia ya kuzidi kujitangaza, Pia zitaweza kumuingizia pesa kwa mauzo ya nguo hiyo.
So Watanzania tupende vya kwetu
Kama bado ujaungana na mimi ili kila nikipata habari zikufikie kirahisi BONYEZA HAPA
UKIONA TUKIO LOLOTE USISITE KUTUTUMIA PICHA WHATSAPP NO:06570352125 Festo saimon
0 comments:
Post a Comment