FIFA imesema Luis Suarez ataruhusiwa kufanya mazoezi na Liverpool wakati akitumikia adhabu yake ya miezi minne na mechi nane za kimataifa.
Wakati huohuo Uruguay imekata rufaa kupinga adhabu hiyo. Suarez alifungiwa "shughuli zote zinazohusu kandanda" baada ya kumng'ata Georgio Chiellini wa Italy.
Hata hivyo Claudio Sulser, mkuu wa kamati ya nidhamu ya FIFA alipoulizwa siku ya Alhamisi mjini Rio de Janeiro kuhusu adhabu hiyo alisema: Sulser pia amethibitisha kuwa Uruguay imekata rufaa kupinga adhabu iliyotolewa.
Claudio Sulser pia amesema Suarez ambaye anasakwa na Barcelona, ataruhusiwa kuhusika katika mchakato wa uhamisho. amesema.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0657035125
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
festo saimon 0657035125
0 comments:
Post a Comment