Friday, July 11, 2014

Anaomba msaada wako asiendelee kuoza mguu

kijana Peter Sitiwati akiwa na maumivu makali yaliyosababishwa na kuoza kwa
mguu.
AMA kweli ng’ombe wa maskini hazai, kijana Peter Sitiwati (26), mkazi wa Sinza ya kwa Remmy jijini Dar amejikuta akikatisha ndoto za utafutaji maisha
kufuatia kuoza mguu baada ya ajali mbaya ya gari.

Akizungumza na mwandishi
wetu jijini Dar juzi kati kwa sauti ya kukata tamaa, Peter alisema alipata ajali.ya gari mwaka 2013 maeneo ya Sinza-Mori, Dar na kuumia vibaya mguu wa
kulia.’’

Baada ya kugongwa na gari
niliangukia mtaroni nikachomwa na kijiti kwenye mguu wa kulia.

Nilikimbizwa Hospitali ya Palestina kutibiwa na baada
ya muda mguu ulionesha kupona kwa juu, lakini kumbe ndani kidonda kilikuwa kibichi na kiliendelea kulika bila mimi
kujua.

Kama bado uja like page yetu BONYEZA HAPA 


UKIONA TUKIO LOLOTE USISITE KUTUTUMIA PICHA WHATSAPP NO:06570352125 Festo saimon

0 comments:

Post a Comment