Sunday, July 20, 2014

ALICHO KIANDIKA PETER WA PSQURE BAADA YA KUPOTEZA HARUSI YA KAKA YAKE

Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye.

Ndugu hao walionekana kwamba wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya kaka yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake.

Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii ishu.


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment