Sunday, June 01, 2014

MTOTO NASRA ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MIAKA MNNE AFARIKI DUNIA

Mtoto Nasra aliyekuwa anatibiwa katika Hospitali ya Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu baada ya kufungiwa ndani ya boksi  afariki Dunia.

Nasra alifichwa ndani ya boksi  na mama mkubwa wake Mariamu saidi tangu akiwa na miezi tisa Mama yake mzazi alipofariki dunia

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI #AMEN


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment