Watu wasiojulikana wamechoma motokanisa la Pentekoste Christian Gospel Revival Assemblies, lililopo eneo la Masanga katika manispaa ya Kigoma/Ujiji majira ya usiku
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma Frasser Kashai alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa wanaendelea na uchunguzi kubaini wahusikaHili ni kanisa la pili kuchomwa moto mjini Kigoma baada ya tukio la mwakajana la kanisa la Muungano wa makanisa ya pentekoste Tanzania (MMPP) katika eneo la Butunga kuchomwa moto na watu wasiojulikana
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment