Monday, May 26, 2014

Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe aliyelazwa ICU katika hospitali ya AMI Jijin Dar

Rais Dk Jakaya Mrisho kikwete akimjulia hali Mama mzazi wa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya Chadema Zitto Zuber Kabwe aliyelazwa katika hodi ya ICU wagonjwa wenye kuhitaji uhangalizi Maalum katika hospitali ya AMI,J ijin Dar leo asubuhi.


Posted by flavian kachira

0 comments:

Post a Comment