Wednesday, May 28, 2014

MWILI WA MAREHEMU RACHEL HAULE ( RECHO) KUAZIKWA KESHO

Mwili wa marehemu Rachel Haule (Recho) aliyefariki juzi katika hospital ya Muhimbili  utazikwa kesho jijin Dar es salaam badala ya Songea kama ilivopangwa apo hawali.
Ratiba ni kuwa mwili utaagwa katika viwanja vya leaders na baada ya apo utapumzishwa katika makaburi ya Kinondoni....

Posted via Blogaway


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment