Thursday, May 01, 2014

Huyu ndiye mpenzi wa ommy dimpoz

Wasanii weng wa bara la ulaya wamekuwa wepesi sana kuwatambulisha wapenzi wao.
Lakin kwa apa nchini kwetu wasanii weng hasa wa bongo fleva wamekuwa wagumu kuwatambulisha wapenzi wao.
Iv karibun msanii ommy dimpoz aliipost picha yake akiwa na msichana ila yeye akundika neno lolote kuhusu kuwa n frend wake au la!. Ila kwa fununu zilizosambaa kuwa yule kwa sasa ndo number one wake.


Posted by festo saimon

0 comments:

Post a Comment