Wazili wa serikal za mitaa Godfrey kamanywa nchini malawi amejiuwa baada ya kushindwa uchaguzi katika uchaguzi mkuu.
Wazili huyo alijipiga na risasi nyumban kwake baada ya kupewa taarifa ya kushindwa katika uchaguzi.
Matokeo ya kula bado hayajatangazwa rasmi kile kinachoeleza ni uchaguz wenye ushindani mkubwaa xana.
Afisa mkuu wa uchaguzi ameeleza kwamba mfumo wa kielectroniki na maafisa wanatumia matokeo kwa barua pepe.
Chanzo bbc swahili..........
0 comments:
Post a Comment