Haya maajabu kwel huyu mzee alianguka toka juu mpaka chini baada ya kuchokaa kupaa kama ndege.
Mtu mmoja aitwaye chike ametoa ushahidi kwamba aliona ndege watatu wakipaa angani na baada ya apo ndege wawili wakaanza kupigana na kupelekea ndege mmoja kuanguka na kubadilika kuwa kikongwe umwonae apo juu. Chike alisema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka kwani mkono wake mmoja uligusa kwenye nyaya ya umeme akiwa anadondoka.
Baada ya mzee huyo kukamatwa na watu wenye hasila kali alikili kuwa yeye ni mchawi na alikuwa na wenzake wawili walimwacha akiwa yeye amenguka. Anasema alikuwa mkutanoni nchini Nigeria na walipo maliza walianza safari ya kuludi makwao,kikongwe alisema kuwa safari ya kuludi haikufanikiwa kwani usiku kucha walijikuta wanazunguka Lagosi,na anasema alidondoka kwa sababu alichoka kuluka
Posted by jombii man
Posted by flavian kachira
0 comments:
Post a Comment