Wednesday, April 30, 2014

TIMU YA AZAM YAENDELEZA USAJILI WAKE WAKUTISHA KWA KUMSAJILI FRANK DOMAYO..

Timu ya azam yaendelea kufanya usajili wakutisha.
Baaada ya apo jana kumsajili aliyekuwa mchezaji wa yanga Didier Kavumbagu.
Leo imeendelea kuimarisha kikosi chake baada ya kumsajili kiungo mchezeshaji frank domayo ambaye nae alikuwa anaichezea timu ya yanga.
Domayo amesaini mkataba wa kuichezea azam fc ambao ndo mabingwa wa ligi kuu kwa miaka miwili


Posted by festo saimon

0 comments:

Post a Comment