Tuesday, April 29, 2014

MSANII "shilole" afunguka..........

Msanii wa muziki na filamu zuwena mohamed maarufu kama "shilole" amefunguka kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ajawai kuachwa.
Akihojiwa katika chombo fulani cha habari apa Tanzania amesema yeye ndo amekuwa bingwa wa "vibuti" kwa wanaume ambao awaeleweki.
Ukwel cjui nina nini ila na amini mungu amenipa kitu cha pekee sababu na weza kumwacha mwanaume kwa kumtukana lakin akarudi mwenyewe "sijawai kuachwa" shilole alisisitiza msanii anayetamba kwa ngoma yake ya "chuna buzi"

Posted by festo saimon

Posted by festo saimon


Posted by festo saimon

0 comments:

Post a Comment