Friday, August 08, 2014

SEXY PHOTOS ZA DADA YAKE DIAMOND...ESMA DIAMOND PLATNUM

Anaitwa ESMA, dada yake Diamond, Wifi na rafiki wa Wema Sepetu,ni mrembo mwenye mvuto...umeziona baadh ya HOT picha zake hapo juu

 BONYEZA HAPA KUHUNGANA NA PAGE YAKO PENDWA YA SIMULIZI ZA KUSISIMUA 

TUNDAMAN AELEZA ALICHOSHAURIWA NA ALI KIBA BAADA YA KUPOKEA SIMU NA KUUGUA, 'INAWEZEKANA NI USHIRIKINA'

Mwimbaji wa Tip Top Connection, TundaMan aliwashangaza wengi baada ya kueleza kuwa alipokea simu yenye namba nyingi asizozielewa na ghafla akapata mshtuko na kuishiwa nguvu, hali iliyomsababisha akimbizwe hospitali ambapo alipewa matibabu.

Licha ya kuwa wataalam na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) walieleza wazi kuwa kitaalam simu haiwezi kabisa kuwa chanzo cha tatizo hilo, TundaMan alisisitiza kuwa yeye ndiye aliyepata tatizo na anajua kilichotokea.

“Wao wanasema haiwezekani kwa sababu hilo tatizo halikuwakuta…lakini kwa kuwa mimi ndiye nimekuwa affected kwa siku mbili tatu, mimi naamini kuwa tukio hilo lipo na limekuja baada ya kupokea ile simu.

Wao wanaongea kitaalam siwezi kubishana nao, lakini mimi limenikuta na nimeona.” Aliiambia tovuti ya Times Fm. Kutokana na sintofahamu hiyo, Tundaman ameeleza kuwa msanii mwenzake, Ali Kiba alimshauri kwenda katika nyumba ya ibada ili apate dua maalum.

“Yeah inawezekana (ni ushirikina) kwa sababu vitu kama hivyo huwa vinatokea sana na ndio maana ndugu yangu Ali Kiba amenishauri nikapate dua.” Amesema Tunda Man.

Ameeleza kuwa tayari amechukua uamuzi huo ingawa hali yake pia inaendelea kuimarika baada ya kupata matibabu. Kwa mujibu wake, Dua ndilo kimbilio lake la mwisho.

 UNAPENDA SIMULIZI HADITHI NA VICHEKESHO MBALIMBALI BONYEZA HAPA KUHUNGANA NASI ILI UCHEKE MPAKA BHAAS 

Picha: Jokate amfanyia interview ex wake Diamond, mashabiki wadai wanaoneana aibu!

Msimu wa pili wa kipindi cha The One Show cha TV1 umeanza. Kinachofanyika kwa sasa ni kurekodiwa kwa vipindi hivyo vitakavyoanza kurushwa hivi karibuni.

Jokate Mwegelo na Diamond wakiwa kwenye studio za TV1

Jana, watangazaji wa kipindi hicho, Ezden Jumanne na Jokate  Mwegelo walikuwa wakimhoji Diamond Platnumz.

Diamond ameshare picha kwenye Instagram akiwa amekaa kwenye kochi na ex wake Jokate, na kuvutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki.

Jokate, Romy Jones, Ezden na Diamond Baadhi ya mashabiki wamedai kuwa wawili hao
waliowahi kuwa wapenzi kwa muda mfupi,walikuwa wakioneana aibu. Ni kweli?

Kama bado ujaungana na page ya simulizi mbalimbali za kusisimua BONYEZA HAPA 

GARETH BALE KAJAZIA KIFUA SAFARI HII USIPIME, HEBU MCHEKI HAPA…

Bale akionesha mwili wake uliojengeka kwa mazoezi ya ‘Gym’
Nguvu: Bale akipasha moto misuli

Muonekano mpya: Bale amejazia kinoma tofauti na msimu uliopita na yupo tayari kwa ajili ya mechi ya fainali ya Super Cup mjini Cardiff.

WAKATI wachezaji wenzake wengi wa Real Madrid walikuwa kupambana katika fainali za kombe la dunia, Gareth Bale yeye alikuwa anahudhuria ‘Gym’ kujenga mwili.

Nyota huyo akiwa katika mazoezi leo alhamisi alikuwa na muonekano tofauti na msimu uliopita.

REAL MADRID WAIFANYIA’ UMAFIA’ LIVERPOOL USAJILI WA RADAMEL FALCAO

Nyota anayewidnwa: Mshambuliaji wa Monaco, Radamel Falcao (kushoto) anawindwa na klabu za Real Madrid na Liverpool majira haya ya kiangazi.

REAL Madrid wamepewa nafasi kubwa ya kumsajili Radamel Falcao ukilinganisha na timu ya Liverpool anayoiwinda saini ya nyota huyo. Liverpool wameamua kumwendea mshambuliaji huyo wa Manaco baada ya kushindwa kumsajili Wilfried Bony wa Swansea na kushindwa kumnasa mshambuliaji wa QPR, Loic Remy kutokana na kushindwa kufuzu vipimo vya afya.

Mtu hatari: Real wanapewa nafasi kubwa ya kumsajili Falcao ambaye alipigwa picha hii alipoifunga Asernal katika mechi ya kirafiki kwenye michuano ya Emirates.

 KAMA UJALIKE UKURASA WA SIMULIZI MBALIMBALI BONYEZA HAPA 

Thursday, August 07, 2014

SIKILIZA SEHEMU YA PILI YA MWALIMU MKUU ALIVOWAHAMRISHA WANAFUNZI WA MZOMEE MZAZI WA MWANAFUNZI WA SHULE HIYOO

Inawezekana hukusikiliza kilichoanza kutokea jana sio mbaya nikikukumbusha japo kiufupi ingawa unaweza pia kuisikiliza hiyo hekaheka ya jana August 06 hapa hapa ni kwamba kuna mwalimu mkuu aliwaamrisha watoto kumzomea mama wa mwanafunzi mwenzao.

Jana tukapata nafasi ya kusikiliza upande wa mama na mtoto pamoja na mwalimu mwenyewe ambaye ni mwalimu mkuu wa shule hiyo ambayo hakutoa ushirikiano mzuri kwa idara ya Hekaheka.

Inaendelea bonyeza play  kusikiliza play hapa 

Source millardayo

Alichokisema Anti Ezekiel baada ya kusemekana anatoka na dansa wa Diamond Platnumz.

Mwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana kuwa anatoka na dansa wa Diamond Platnumz.

Taarifa ya awali ilidai kuwa mpenzi huyo wa dansa wa Diamond alienda kufanya vurugu nyumbani kwa Anti Ezekiel,Anti Ezekiel kapatikana na kaongelea mahusiano yake na Moses Iyobo ambaye ndiye dansa wa Diamond Platnumz.

Bonyeza play kusikiliza alichokisema aunt ezekiel Play hapa kusikiliza 

Source millardayo