Tuesday, August 12, 2014

BREAKING NEWS: DEREVA WA BASI LA WACHEZAJI WA YANGA AFARIKI DUNIA ASUBUHI HII

Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Dereva wa Bus Kubwa la Wachezaji (Yutong) Bw Maulid Kiula kilichotokea alfajiri ya leo Ilala jijini Dar es salaam. Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu mtaa wa Chunya karibu na Bungoni Ilala jijini Dar es salaam. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema pepo...

MUHIMU SANA: USAILI WA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA WAKAZI WA MBEYA

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, BARAKAEL .N. MASAKI – ACP anawatangazia Wananchi wote ya kuwa orodha ya majina ya vijana waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2013 na cha Sita mwaka 2014 na kuchaguliwa kufanya usalii wa kujiunga na Jeshi la Polisi inapatikana kwenye tovuti ya Polisi: www.policeforce.go.tz au wafike ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya iliyopo Forest jirani na Mahakama kuangalia majina yao. Muhimu: • Mwombaji anaruhusiwa kufanya...

Mkali wa movie Robin William akutwa amefariki ndani ya nyumba yake

Robin William ni star aliyeanza kupata mafanikio akifanya kazi kama stand up comedian na baadae kuanza kuonekana kwenye movie. Akiwa na miaka 63 Robin amefariki dunia kwa kifo ambacho hadi sasa hakijajulikana chanzo chake lakini tetesi zinasema kuna uwezekanao kwamba Robin alijiua. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake huko Tiburon California na watu wa karibu wanasema alikuwa anasumbuliwa na msongo wa mawazo hivi karibuni. Enzi za uhai wake aliwai...

Huu ndiyo usajili wa timu za Ligi Kuu za England

Romelu Lukaku amehamia jumla Everton toka ChelseaFillipe Luis (mbele) amehamia ChelseaDidier Drogba amerejea ChelseaKipa David Ospina ametua ArsenalLuke Shaw ametua Manchester United toka SouthamptonAlexis Sanchez ametua Arsenal toka BarcelonaARSENAL WALIOSAJILIWA Alexis Sanchez (Barcelona, £30m), Calum Chambers (Southampton, £12m), Mathieu Debuchy (Newcastle, £10m), David Ospina (Nice, £3m) WALIOONDOKA Thomas Eisfeld (Fulham, ada haikutajwa),...

MARADONA AMCHAPA KIBAO MWANDISHI WA HABARI.

Gwiji la soka ulimwenguni Diego Maradona ameibuka na skendo nyingine nchini Argentina baada ya kumzaba kibao mwandishi mmoja wa habari ambaye inasemekana alimsemea maneneo machafu mke wa zamani wa gwiji huyo. Kitrndo hicho kilimuhudhi Maradona ambaye alikuwa safarini pamoja na mtoto wake.  ASANTE NA KALIBU TENA ILA KAMA BADO UJAJIUNGA NASI BONYA HAPA&nbs...

DIAMOND PLATNUM- ”MRISHO NGASSA NDIYE MWANASOKA PEKEE NINAYEMFAHAMU TANZANIA”

Mwanamuziki wa Bongo Flovour Nchini Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinums, amesema hajaridhilika na alipo sasa kimuziki, ndio maana kila siku anajifunza kwa kufuatilia kwa ukaribu maisha ya Nyota wengi hasa wanamichezo Kutoka Mataifa Tofauti Duniani. Diamond ambae ni miongoni mwa wanamuziki waliofanya vyema kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta Mkoani Mwanza hivi karibuni, ametoa taarifa za kuwafuatilia nyota hao mbalimbali kwenye mahojiano maalum...

MBEYA YAKIONA CHA MOTO KWA WATOTO WA TMK AIRTEL RISING STARS

TIMU ya wavulana ya Temeke jana imeyaanza vyema mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa kwa kuifunga Mbeya 2-1 katika mchezo wa ufunguzi uliochezwa kwenye uwanja wa kumbu kumbu ya Karume jijini Dar es Salaam. Baada ya kosa kosa za hapo na pale kutoka pande zote mbili, Temeke walifanikiwa kuandika bao lao la kwanza katika dakika ya 27 kupitika kwa mshambuliaji machachali Siaba Selehe. Bao hilo lilipokelewa...

KOCHA KIBOKO YA YANGA AWASILI DAR KUMWAGA WINO NA WEKUNDU WA MSIMBAZI

Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KOCHA bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2009/2010, Patrick Phiri anatarajiwa kutua Dar es Salaam Ijumaa wiki hii kwa ajili ya kusaini Mkataba wa kuifundisha klabu yake ya zamani, Simba SC. Mzaliwa huyo wa Mei 3 mwaka 1956, alifanya kazi kwa awamu tatu tofauti akiwa na Wekundu hao wa Msimbazi kati ya mwaka 2004 na 2010 na kwa mafanikio makubwa- na sasa anataka kurejesha enzi. Mzambia huyo alishinda...

JE NIKWELI JOKATE ANAPENDA KUIGA MASTAA WA MAMTONI?!!! CHEKI PICHA HIZI

Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba na wakali wa nje...big up!!!...umeziona  picha hizo  ni kwajinsigani anavyokwenda nao kwenye upande wa NYWELE!...

PICHA ZA WEMA NA DIAMOND WAKILA GOOD TIME ZIWANI JIJINI MWANZA!!!

...