Tuesday, September 30, 2014

MBWANA SAMATTA 'ALIVYOWAPELEKA PELEKA' WAARABU JANA, LAKINI HAIKUWA RIZIKI YAO MAZEMBE

Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mtanzania Mbwana Samatta akimtoka beki wa ES Setif y Algeria Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi jana katika Nusu Fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mazembe ilishinda 3-2 na kufanya sare ya jumla ya 4-4 baada ya awali kufungwa 2-1 Algeria, hivyo kutolewa kwa mab ya ugenini.
Samatta akipasua katikati ya mabeki wa Setif
Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki Setif

0 comments:

Post a Comment