Monday, September 15, 2014
 |
| Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye
miaka 65, anaetokea south Afrika kwa
zulu-natatal anasema ni kweli ameenda
mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli
alisha wahi kwenda huko,but
inawezekana ikawa kweli pia,mara ya
kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya
hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na
2008 kwa mfululizo
Yote hayo yalianza mwaka
1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina
wezekana malaika) na akamwambia
kwamba alikuwa anahitajika
mbinguni.Baada ya kutembea mbinguni
alifanikiwa kuchora ramani ya huko na
kutuletea sisi tusio na bahati hiyo ya
kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini
ambacho ana kisema ..Ramani ndiyo hiyo
hapo juu |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment